Pages

Pages

Pages

Friday, 23 May 2014

UTAALAMU WA KUDILI NA SEHEMU NYETI ZA MWANAMKE ILI KUMKOJOLESHA ZAIDI YA MARA MOJA.



Zipo sehemu nyingi sana zinazoweza kumfanya
mwanamke ajisikie utamu
ambao hakuwahi kuuhisi kutoka kwenye kitendo
chochote zaidi ya wakati
wa kufanya mapenzi, Raha hii hutegemea sana
na utaalamu wa
kuchezeana na kudili na sehemu zinazotoa
mshawasha zaidi katika mwili.
Leo tutaangalia sikio ambalo liikishughulikiwa
sawasawa huweza
kumfanya aongee hata maneno asiyoyajua
kutokana na raha aipatayo
Mtu anaweza kuona kuwa hii ni sehemu ndogo
sana ambayo haina
mchango wowote katika kumpa raha mpenzi
wako,ukweli ni kwamba
hii si sehemu ya mchezo hata kidogo kwani
mwanaume/mwanamke
 hupata raha sana anaposhughulikiwa masikio
yake, kwani masikio
ni kiungo chenye uwezo mkubwa sana wa
kuleta/kuamsha hisia
zilizolala.
Namna ya kudili na kiungo hiki.

*Hakikisha masikio yako yako safi kila wakati na
si muda wa kufanya
mapenzi pekee.Usafi huu hufanywa wakati wa
kuoga na baada
ya hapo unaweza kutumia cotton buds (pamba
za masikio)
ili mkuondoa uchafu uliopo sehemu ya ndani
kabisa ya masikio.

*Wakati mmeanza kushikana na kuchezeana
hapa na pale,anza
kwa kumnong’oneza mpenzi wako huku
ukimwambia maneno
matamu,baada ya muda mfupi anza kumbusu
masikioni kwa upole
na taratibu (mabusu yasiyo na sauti).

*Baada ya kumwagia mabusu yenye sauti ya
chini anza kulamba
sehemu yake ya nje ya masikio huku mikono
yako ikimpapasa
mgongoni na sehemu nyingine kwa mahaba.
Waweza kumtekenya
kidogo huku ukimpa maneno ya kuliwaza.

*Anza kuuchomoa ulimi wako na kuungiza katika
kona mbali mbali
za sikio la mpenzi wako huku ukishusha pumzi
taratiibu.
Waweza pia kufyonza kimtindo kijishimo cha
sikio na ukifanya
hivi utamwona tu mpenzi wako anaruka kwa
msisimko wa ajabu.
Usimfyonze kwa nguvu kishimo cha sikio kwani
unaweza
 kumsababishia maumivu.

*Ukiendelea na shughuli hii nyeti
mnaweza  kujikuta
 mnapiz kabla hata hamjafanya mapenzi,Kama
hautaki kupoteza
sana muda na sehemu hii ya sikio waweza
hamia sehemu zingine
kama shingo,chuchu nk.


CREDIT:  PAMOJASISI BLOG.

No comments:

Post a Comment