Wakati bunge likiendelea na kujadili bajeti mjini
Dodoma, Mbunge wa Arumeru Mashariki,
Joshua Nassari yeye ameonekana yupo busy
anakula raha na mke wake ambaye alifunga nae
ndoa weekend iliyopita jijini Arusha.
Hizo ni picha ambazo Mbunge Nassari akila
raha na mkewe.
No comments:
Post a Comment