Pages

Pages

Pages

Sunday, 29 June 2014

LINAH AWASILI DAR.AONGELEA KOLABO YAKE NA UHURU NA DJ MALVADO SOUTH AFRICA.



Linah amerudi Dar! ameongea kuhusu kolabo na Uhuru na Dj Malvado South Africa

DSC_0478 #1
Linah akiwa uwanja wa ndege Dar es salaam alipowasili akitokea Johannesburg South Africa ambako unaweza kwenda Jumatatu Jumatano na Ijumaa kupitia @fastjet
Katikati ya June 2014 Linah alizungumza na millardayo.com akiwa South Africa na kuthibitisha kwamba kilichompeleka huko na kumfanya akae kwa zaidi ya siku 20 ni kazi ya muziki.
Miongoni mwa alivyokua anavifata ni kufanya kolabo na Oskido staa wa muziki wa Afrika kusini ambae ndio anawasimamia Mafikizolo ambao pia wanarekodi kwenye studio yake.
linah122Baada ya kutua Dar es salaam akitokea Johannesburg, Linah ameithibitishia millardayo.com kwamba tayari amefanya kolabo na kundi la Uhuru ambao walishirikishwa kwenye wimbo wa ‘khona’ na Mafikizolo.
Kwenye studio ya Oskido, palepale wanaporekodi mastaa wengine kama Mafikizolo wenyewe na Davido pia alierekodia hapo kolabo na Mafikizolo, Linah ndio amerekodi hiyo kolabo na kundi la Uhuru.
DSC_0503Wimbo wake umefanywa na producer kutoka pia kwenye kundi hilohilo la UHURU ambae ndio amehusika vilevile kwenye kolabo ya Mafikizolo na Diamond Platnumz.
35Kolabo alizorekodi South Africa ni mbili ikiwemo moja aliyoshirikishwa na Dj Malvado ambae yupo kwenye ile hit ya ‘Atchu tchutcha’ ambapo pia Linah amethibitisha kwamba kwa kipindi chote cha zaidi ya siku 20 Afrika kusini, amerekodi video na God father Director ambae amefanya video nyingi kubwa za Afrika zikiwemo za P Square, Davido, Diamond na wengine.
34

DAVIDO NA DIAMOND HOTELINI KUELEKEA KWENYE TUZO ZA BET 2014 NA YA MOYONI MWA OMMY DIMPOZ.


Davido na Diamond hotelini kuelekea kwenye tuzo za BET 2014 na ya moyoni mwa Ommy DimpozDiamond na Davido BET Awards 2014Stori kubwa inayoongelewa kuhusu tuzo hizi za BET 2014 ambazo kwenye kipengele cha tuzo inayotolewa kwa msanii/kikudi cha Afrika Diamond Platnumz pia alichaguliwa kushiriki, ni tuzo hiyo kutolewa saa kadhaa kabla ya zile tuzo za wasanii wa Marekani kutolewa…. yani kwa ufupi hafla ya utoaji wa tuzo hizi haitoi nafasi kwa tuzo ya Afrika.
Kwenye exclusive interview na millardayo.com Diamond amesema ‘tuzo ya Afrika imetolewa saa mbili asubuhi wakati tuzo za kina Chris Brown, Beyonce na wengine wakubwa zinatolewa saa kadhaa baadae usiku, Waafrika wanawekwa peke yao ila ingekua poa kama wangekua wanatoa tuzo ya Afrika palepale kama wasanii wa Marekani, ingesaidia kuunyanyua muziki wa Afrika’
Miongoni mwa waliotoa yao ya moyoni ya kutofurahishwa na utolewaji huu wa tuzo ya Afrika kivyake na kutojumuishwa na zile za wasanii wa Marekani ni msanii Ommy Dimpoz.
Screen Shot 2014-06-29 at 11.38.40 PMCREDIT:MILLARD AYO.

PALE GIRLFRIEND WA CHRIS BROWN ALIPOKUTANA NA DIAMOND PLATNUMZ NA KUMUHOJI KWENYE REDCARPET.



Pale girlfriend wa Chris Brown alipokutana na @DiamondPlatnumz na kumuhoji kwenye red carpet

Screen Shot 2014-06-30 at 4.32.15 AMKarrueche Tran mrembo ambae ni mpenzi wa mwimbaji staa wa dunia Chris Brown alihusika kama mtangazaji na kuhoji watu mbalimbali waliohudhuria tuzo za BET 2014 ambazo Mtanzania Diamond Platnumz alichaguliwa kushiriki kama msanii kutoka Afrika na tuzo hiyo kuchukuliwa na Davido wa Nigeria.








Katika watu ambao Karrueche aliwahoji ni Diamond Platnumz ambae alielezea ni jinsi gani amefurahi kuwepo kwenye kuwania tuzo ya BET 2014, alimtaja msanii ambae angependa kumuona kwenye stage ndani ya usiku huu pamoja na mengine tazama kwenye hii video fupi hapa chini.

Ili kuwa mwanafamilia wa na kupata kila kinachonifikia jiunge na mimi kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>





Screen Shot 2014-06-30 at 4.10.38 AMCREDIT:MILLARD AYO.

MAGAZETI YA LEO TAREHE 30/6/2014.

.
.
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

Friday, 27 June 2014

ANGALIA VIDEO YA NYIMBO MPYA YA DIAMOND ALIYOSHIRIKIANA NA VICHWA VENGINE KUTOKA AFRICA.


Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Angalia video ya nyimbo mpya ya diamond aliyoshirikiana na vichwa vingine kutoka Africa
10472050_299776120198999_1167685882_n

Wakali sita wa muziki barani Afrika wameungana kwa pamoja kama sehemu ya kampeni ya kampuni ya MultiChoice Africa kufanya nyimbo  na video itakayotolewa kwenye onyesho la glitz and glam content extravaganza nchini Mauritius. Wakali hao ni pamoja Davido kutoka Nigeria , Diamond Platnumz kutoka Tanzania , Sarkodie kutoka Ghana , Tiwa Savage kutoka Nigeria, Lola Rae ambaye ni mwanamuziki wa uingereza aliyechanganyika na asili ya Ghana na Nigeria. Wa mwisho ni kundi la Mi Casa kutoka Afrika Kusini linaloundwa na Dr. Duda (producer na mpiga piano) , Jsomething (vocalist and mpiga gitaa), and Mo-T (mpiga tarumbeta). Ebu icheki video yenyewe hapa..