Mwili wa Marehemu Adam Kuambiana ukitolewa
nje ya Hospitali yaMama Ngoma iliyopo Mwenge
jijini Dar es Salaam kupelekwa katika Hospitali
ya Taifa ya Muhimbili kuhifadhiwa leo mchana
huu.
...Mwili wa Marehemu Adam Kuambiana
ukiwekwa kwenye gari tayari kupelekwa
Muhimbili kuhifadhiwa.
Hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini
Dar es Salaam alikofia Msanii Kuambiana.
...Msanii aliekuwa akicheza filamu moja na
marehemu katika Hoteli ya Silver Rado iliyopo
Sinza kwa Remy, Dar akilia kwa uchungu nje ya
Hospitali ya Mama Ngoma leo mchana huu.
...Wasanii wakilia kwa uchungu nje ya Hospitali
ya Mama Ngoma leo mchana huu.
Mwili wa Marehemu Adam Kuambiana ukiwa
katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
kuhifadhiwa leo mchana.
Rais wa Bongo Movies, Steve Nyerere akiwa
analia nje ya chumba cha maiti Muhimbuli.
Wasanii wakilia kwa uchungu nje ya chumba cha
maiti katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
mchana wa leo.
Credit:GPL.
Udaku magazine.
No comments:
Post a Comment