Pages

Pages

Pages

Wednesday, 21 May 2014

AUAWA KWA KUKATWAKATWA HUKO MKOANI LINDI.(TAHADHARI PICHA ZINATISHA).





Pichani ni Marehemu Hassan Hamis Dadi
akitolewa kukimbizwa hospitalini baada ya
kukatwa mapanga na mtu ambae hajafahamika
aliemvamia akiwa kavaa Ninja akiwa shambani
kwake katika kijiji cha Liteta Tarafa ya Mingoyo
Lindi.





Mgogoro ni wa shamba la Chumvi ambalo
kulikuwa na kesi ambayo ameshinda katika
Mahakama kuu lenye Ekta 21.
Awali kabla ya tukio hilo Marehemu aliwahi pia
kupigwa mapanga kuhusiana na mgogoro wa
shamba hilo.


Taarifa toka kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa
LINDI, Renatha Mzinga.

No comments:

Post a Comment