Pages

Pages

Pages

Wednesday, 12 November 2014

PICHA:AJALI ILIYOTOKEA LEO ASUBUHI KAHAMA,SHINYANGA.







Nashukuru kila ripota wa nguvu
ambae amekua akitoa ushirikiano wa
kutuma chochote anachokutana
nacho mbele yake na hii ni baada ya
millardayo.com na AyoTV kutangaza
namba rasmi ya Whatsapp na email ili
kupokea matukio mbalimbali ambayo
mara nyingi hayafiki kwenye vyombo
vya habari sababu ya upatikanaji.

Maripota wa nguvu kwenye hii post ni
Easter, Shija Cash Money pamoja na
Beka Mtanzania wote hawa wa
Kahama ndio wamehusika kutuma
hizi picha na taarifa kuhusu ajali ya
basi iliyotokea leo asubuhi.
Screen Shot 2014-11-12 at 11.17.42 AM

Ni Basi la Wibonela Express
linalofanya safari zake kati ya Kahama
– Dar ambalo lilipinduka baada ya
kutoka stand kuu ya kahama kilometa
chache toka stand hiyo kwenye eneo
la Phantom ambapo taarifa kutoka
Polisi zinasema waliofariki ni watu
wanne.

Taarifa za awali zinasema chanzo cha
ajali hiyo ni mwendo kasi.





No comments:

Post a Comment