Pages

Pages

Pages

Wednesday, 5 November 2014

BAADA YA KIMYA KIREFU,JE WAJUA KILICHOJIRI KWA ISON ?!

BAADA YA KIMYA KIREFU,JE WAJUA KILICHOJIRI KWA ISON ?

Aliyekuwa msanii wa kizazi kipya wa miondoko ya Hiphop kutoka visiwani Zanzibar Issa ... Maarufu kama Ison ameelezea hisia zake za kurudi kwenye tasnia baada ya kuukacha muziki kwa kipindi kifupi.Akiongea na mhariri wa blog ya Official Classmate,Ison alisema "Tunajaribu kufanya mziki ili utunufaishe na kutusaidia kwenye maisha yetu ya kila siku ila unfortunately tunakosa wale supporters ambao kwa njia moja au nyengine wangetusaidia sisi wasanii kufikia ile stage ambayo tume-aim.Siku kadhaa zilizopita nili-announce kuucha mziki sio kwa nia mbaya na lengo lilikua ni kuangalia nini kita-happen kwenye sanaa ya Zanzibar asipokuwepo Ison".

Alipoulizwa mashabiki wake wasubirie nini alisema "Nahisi muda wangu umefika na kwa sasa itakua ni mwendo wa kazi juu ya kazi.Kwa sasa najiandaa kuachia track yangu mpya iitwayo MISTARI WALEO so nahisi mashabiki wangu wasubirie iyo kazi.













No comments:

Post a Comment