Official fan blog "Classmate" is one among Bongo Classmates properties...
It's all about reporting of Current affairs..
Pages
▼
Pages
▼
Pages
▼
Sunday, 31 August 2014
KINANA AKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI TANZANIA
KINANA AKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI TANZANIA
Katibu
Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania ( TUCTA )Nicholaus
Mgaya akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
alipowasili kwenye Makao Makuu ya TUCTA kwa mazungumzo na Viongozi wa
vyama vya wafanyakazi.
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akisalimiana na
Mkurugenzi wa Idara ya Wanawake,Jinsia na Watoto (TUCTA) Siham Ahmed
kabla ya kuanza kwa mazungumzo baina ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kinana na Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi.
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania ( TUCTA
)Nicholaus Mgaya akizungumza wakati wa kikao cha Viongozi wa vyama vya
Wafanyakazi na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kwenye ukumbi
wa mikutano TUCTA.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumzwa kwenye kikao na Viongozi wa Vyama Vya Wafanyakazi Tanzania.
Sehemu ya Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi Tanzania wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Reli Tanzania (TRAWU) Erasto Kihwele akichangia jambo wakati wa kikao hicho. (Picha na Adam H.Mzee)
No comments:
Post a Comment