Pages

Pages

Pages

Saturday, 7 June 2014

PICHAZ....WASHINDI WA MTV MAMA 2014.



Usiku wa June 7 zilitolewa tuzo za MTV
(MAMA 2014) katika ukumbi wa ICC,
Arena jijini Durban Afrika Kusini na
kushuhudiwa na mamilioni ya wapenda
muziki duniani.
Kwa bahati mbaya Diamond ambaye
alikuwa anawakilisha kutoka Tanzania
hakupata tuzo katika vipengele vyote
viwili alivyokuwa akishindania.



Hata hivyo, Diamond ameongeza kasi na
ukubwa katika muziki wake kwa show
kali aliyofanya na Davido wakiimba
Number One Remix na bila shaka
booking zitamiminika kwa ajili ya show
za kimataifa.

Davido alishinda tuzo ya Best Male na
Artist of the Yea, na kipengele cha Best
Collabo kilienda kwa Y-tjukutja – Uhuru
feat DJ Buckz, Oskido, Professor, Yuri Da
Cunha.

washindi katika vipengele vya muziki:

Song of The Year
Khona-Mafikizolo feat Uhuru

Best Collabo
Y-tjukutja – Uhuru feat DJ Buckz,
Oskido, Professor, Yuri Da Cunha

Best Music Video
Clarence Peters (Nigeria)

Best Francophone
Toofan (Togo)

Artist of the Year
Davido (Skelewu)

Best Hip Hop
Sarkodie (Ghana)

Best Group
Mafikizolo

Best New Act
Stanley Enow (Cameroon)

Best Female Artist
Tiwa Savage (Nigeria)

Best Male Artist
Davido (Nigeria)

Best Altenative
Gangs of Ballet (South Africa)

*Transform Today Award- Clarence
Peters

No comments:

Post a Comment