Pages

Pages

Pages

Thursday, 12 June 2014

NYIMBO YA JUSTIN BIEBER YAOKOA MAISHA YA MTOTO HUYU......


  • Justin-BBieber

    We all know how controversial Justin Bieber is right? Pamoja na headline kadhaa alizo make hivi karibuni, Bieber anaweza kuwa bad boy, lakini nyimbo zake zikatumika kuokoa Maisha ya watu!!! Vibe Magazine TZ inaprove hivyo kwenye True life story inayomuhusu Kera Balonik kama ifuatavyo.
    Balonik alikuwa na mtoto aitwaye Theo, ambaye alikuwa na umri wa miaka 14 ambaye alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya debilitating (kudhoofika mwili) ambayo yakawa yanampelekea kifafa cha mara kwa mara na kumwacha katika hali ya kukosa nguvu, na hali ya kujisikia kutaka kutapika muda wote. Issue ni kwamba, Balonik na mkewe walikuwa wana wakati mgumu sana especially kum-encourage Theo kula ili angalau aweze kupata energy ambapo mara nyingi alikuwa akikataa. Hali ilizidi kuwa mbaya mpaka pale walipogundua njia mbadala ya kumshawishi Theo kula Chakula bila kutumia nguvu, njia hiyo si nyingine bali ni Justin Bieber!
    Justine-Bieber-Baby
    Erin (care taker wa Theo) alikuwa akimlaghai Theo kwa kuimba na ku play video ya nyimbo ya Bieber (Baby) kwa kuirudia rudia. Na sasa Erin aka recommend ile part ya “bee-bee, bay-bee” iwe inachezwa kila mara ambapo Theo anapewa task afanye au kula Chakula, and it worked!!
    Maisha yakaendelea na huo ndio ukawa mfumo mpya wa Maisha wa Theo, nyimbo ya “Baby” ilipigwa ndani ya nyumba yao hadi ikawa “white noise” in their household”,akiandika mwenyewe Balonik. Kwa bahati mbaya hali ya Theo ikazidi kuwa mbaya na akapelekwa hospitali ya Mount Sinai, ambapo sasa ile video ya “Baby” ilikuwa haisaidii sana kwa muda huu. Siku moja Theo akiwa amegoma kula na kufanya chochote kile akiwa amekata tama, madaktari na ma nurse wakaanza kuimba wimbo wa “Baby”. Theo aliyekuwa akilia kwa muda huo, ghafla alinyamaza na angalau kuonyesha sura ya tabasamu na hatimaye kula Chakula.

    Baada ya kukaa hospitalini kwa muda huku madaktari wakimjulia nyimbo yake na kumuimbia kila mara, Theo aligundulika na ugonjwa wa “hyperinsulinism,” ambao unakuwa kinyume kidogo na ugonjwa wa kisukari, ambapo ilionekana pancreas (kongosho) zake zina produce insulin nyingi. Thankfully aliweza kupata simple life-saving treatment, dawa ya diazoxide ambayo iliweza kuweka sawa blood sugar na kumfanya Theo awe mtoto mwenye afya kama alivyokuwa zamani. Siku hizi Theo ame move on kutoka kwa Bieber, na sasa nyimbo yake mpya ni “Happy” ya Pharrell, but who knows akitoka kwa Pharrell itafuata nyimbo gani….me nina bashiri itakuwa Ngololo tu, kitu cha my # 1.
    Pharrell-Williams-Happy

    No comments:

    Post a Comment