MISS Tanzania 2011, Salha Israel na aliyekuwa
mume wa mwanamitindo maarufu wa Bongo,
Jacqueline Patrick, Abdullatif Fundikira picha
zao zimenaswa wakidendeka kwa raha zao.
Salha Israel akiwa kwenye pozi la kimahaba na
aliyekuwa mume wa mwanamitindo maarufu wa
Bongo, Jacqueline Patrick, Abdullatif Fundikira
Baada ya mapaparazi wetu kuzinasa picha hizo
kwenye mitandao ya kijamii, walimtafuta Salha
na hakupokea simu lakini alipotafutwa
Abdullatif na kuulizwa kulikoni? Alitiririka:
“Mh! Kwa sasa sina jibu ila ipo siku kila kitu
kitakuwa kweupe msiwe na haraka.”
No comments:
Post a Comment