Hatimaye Lupita Nyongo amuweka hadharani mpenzi wake
Hatimaye hii siyo siri tena, mengi yalikuwa yanasemwa na wengine
wakizusha mengi kuwa yule mcheza filamu aliyechukua tuzo za Oscars
mwenye asili ya Kenya, Lupita Nyongo hatimaye afunguka na kumuonyesha
wazi mpenzi wake, Kama unamkubuka yule mwanamuziki aliye-make headlines
sana na nyimbo yake maarufu ya Waving Flag “K’naan”, ndiye mpenzi wa
kweli kabisa wa Lupita Nyongo.
Unaambiwa kuwa, yani hata kabla Lupita hajapata umaarufu huu aliokuwa
nao hivi sana, jamaa ndio aliyekuwa anakula mingle na hadi kufanikiwa
kumpata, ni baada ya muda tu ya mapenzi yao ndio Lupita kuanza kupata
umaarufu mkubwa duniani hasa huko hollywood na inasemekana hadi hivi
sasa Lupita Nyongo mbali ya kusifika kwa urembo wake, anamkwanja mrefu
sasa hivi tofauti na mwaka mmoja tu uliopita.
No comments:
Post a Comment