Official fan blog "Classmate" is one among Bongo Classmates properties...
It's all about reporting of Current affairs..
Pages
▼
Pages
▼
Pages
▼
Thursday, 8 May 2014
VIDEO....GARI LIKIZAMA KUTOKANA NA MAFURIKO (DAR)
Ukistaajabu ya Musa utaona ya firauni,dereva wa gari moja la kusambasa vinywaji hapa Dar amejikuta akiingia kwenye hatari ya kupoteza maisha yake baada ya kujiamini kupitisha gari lake kwenye "ziwa" la mafuriko .
No comments:
Post a Comment