Pages

Pages

Pages

Wednesday, 14 May 2014

R.I.P KHALIFA MMANGA PANDU "RAS MIDUDE".



"Aliekua Mtangazaji wa chuchu fm Radio Zanzibar
Khalifa mmanga Pandu Ras midude ambae
amefariki leo mchana anataraji kuzikwa kesho saa
4 asbuhi shambani kwao jumbi maiti itaondokea
kwao Tomondo changu. Mungu ailaze roho ya
marehem ameeen"aliandika Issa chiwile kwenye timeline yake ya Facebook.



HABARI KAMILI KUTOKA KWENYE BLOG YA CHIWILEINC....WWW.CHIWILEINC.BLOGSPOT.COM

POLE KWA NDUGU JAMAA,
MARAFIKI NA UONGOZI MZIMA
WA CHUCHU FM RADIO
ZANZIBAR KWA KUONDOKEWA
NA MFANYAKAZI MWENZAO
KHALIFA MMANGA PANDU A.K.A
RAS MIDUDE

Kwa niaba ya CHIWILEINC ENTERTAINMET
C.E.O issa chiwile jr tunapenda kutoa pole kwa
ndugu, jamaa na marafiki wa Khalifa Mmanga
pamoja na Mashabiki na uongozi wote wa 90.9
Chuchu FM kwa
kumpoteza kaka yetu. mpendwa Khalifa Mmanga
pandu Ras Midude alie fariki leo Tarehe 14 -5-
2014 katika hospatal y Al-rahma saa 8 mchana
nimepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha
Khalifa Mmanga ambae kwangu aliacha kua
Rafiki baadae kua kama kaka mlezi wa
Chiwileinc nashindwa nimuelezee vipi Khalifa
kwa jinsi alivyo simama kuhakikisha Chiwileinc
inafikia Pazuri inasikitisha sana ila mbele yeye
nyuma sisi tunafata tulimpenda ila mungu
amempenda zaidi Allha ampe kauli thabiti na
mwanga ndani ya kaburi lake Inshallah




Chiwile akiwa na Marehemu Ras Midude.



Kwa niaba ya Official fan blog "Classmate"  tunawapa pole wafiwa wote na roho ya marehemu ipumzike mahali pema peponi.......Amin.

No comments:

Post a Comment