Pages

Pages

Pages

Tuesday, 27 May 2014

PICHAZ...HUZUNI YATANDA BONGO MOVIE......RACHEL.



Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve Nyerere akilia
kwa uchungu.



Huzuni tele ikiwa imetawala wasanii waliokuwa
viwanja ya Leaders.



Bi. Mwenda akilia kwa uchungu.



Mume wa Rachel aitwaye Saguda akiwa na
majonzi.



Mwigizaji Johari akiwa na huzuni.



Cathy Rupia akiomboleza.



Steve akizungumza na wanachama wa Bongo
Muvi, viwanja vya Leaders.
Bongo Muvi wakijadili cha kufanya.



Wasanii wakipanga utaratibu wa msiba wa
mwenzao.



Wasanii wa Bongo Muvi wakiwa Muhimbili
baada ya kupata habari za kifo cha mwenzao.



MASTAA wa Bongo Muvi wamemlilia msanii
mwenzao, Rachel Haule 'Recho' aliyefariki jana
saa mbili usiku katika Hospitali ya Taifa
Muhimbili jijini Dar baada ya kujifungua ambapo
mtoto wake alifariki muda mfupi na baadaye
yeye akafariki.

Kwa mujibu wa mwenyekiti wa Bongo Muvi,
Steve ‘Nyerere’, mwili wa Rachel utasafirishwa
kwenda kwao Songea kwa ajili ya maziko.
Habari nyingine za msiba zitatolewa wakati
wowote na mtandao huu mara tu
zinapopatikana.

No comments:

Post a Comment