Official fan blog "Classmate" is one among Bongo Classmates properties... It's all about reporting of Current affairs..
Pages
▼
Pages
▼
Pages
▼
Tuesday, 20 May 2014
PASTOR MYAMBA ATARAJIA KUFUNGA NDOA AGOSTI 2.......ZANZIBAR.
Msanii wa filamu, Emmanuel Myamba aka
Pastor Myamba anatarajia kufunga ndoa na
mwanadada Trakseda Kasela, itayofanyikia
August 2 huko visiwani Zanzibar.
Akizungumza na Bongo61kwa kupitia simu siku
ya jana Pastor Myamba amesema kuwa huu
ndiy wakati wake ambao ameamua kufunga
ndoa na kukaa na mke wake pamoja.
“Mwezi wa nane tarehe mbili Mungu akinijalia
nitakuwa naoa, mke wangu ni wa hapa hapa Dar
es Salaam lakini sio msanii, sipendi kuoa
wasanii bwana, wasanii mambo mengi,”
amesema. “Mpaka sasa hivi ninatoa tu taarifa
nadhani harusi yangu haitafanyikia kanisani na
itafanyikia kwenye garden huko Zanzibar.
Mpaka sasa hivi bado nipo kwenye maandalizi
ya mwisho, kwahiyo msishangae siku ya
mwisho nabadili baada ya kwenda kufungia
Zanzibar nikafanyia hapahapa. Lakini kila kitu
kipo sawa kwamba natarajia kuoa sasa na
kuishi pamoja na mke wangu, ninayetarajia
kumuoa anaitwa Trakseda Kasela.”
No comments:
Post a Comment