Upcoming artist aitwaye #a (hash mimi) ambaye pia ni mfuasi wa Haile Sellasie ameachia nyimbo yake mpya iitwayo Butterly ikiwa na ladha ya sweet-reggae .Nyimbo hiyo imerikodiwa na kuandaliwa Island Records chini ya usimamizi wa Rico Single.
Butterfly.
"Yah....nyimbo nimeitayarisha pale Island Records chini ya usimamizi Rico ikiwa na lengo la ku-express hisia zangu za upendo.Nimetumia sweet-reggae as a genre of music where naweza kuwa open na hisia zangu" alisema #Mimi wakati akiongea na mwandishi wa blog hii na kukiri kuwa anampenda sana Bobo Marley na Richie spice.
No comments:
Post a Comment