Mwanamziki mkongwe wa Tanzania katika anga za bongofleva anayetamba na kibao chake cha Nimechoka aliyomshirikisha Diamond,Keysha amefanikiwa kupata mtoto wa pili wa kiume.
Jembe hilo........karibu sana kitaa.
Keysha akifarijiwa na shoga na ndugu zakee mara baada ya kujifungua.
Hongera sana Dada yetu Keysha.
No comments:
Post a Comment