Pages

Pages

Pages

Sunday, 25 May 2014

JINSI YA KUSHIKA MIMBA HARAKA.





1. Kufanya tendo la ndoa mara kwa mara,
angalau siku
tatu kwa wiki, ikiwezekana on alternate days.

2. Tumia ovulation prediction kit, hiki ni kifaa
ambacho kitakusaidia kujua wakati hasa
mwanamke
 ameengua yai na ndio kipindi ambacho
mwanamke ana uwezo wa kushika mimba
akikutana na mumewe. Ni rahisi kutumia.

3. Fanya tendo la ndoa kabla ya kuengua yai
(kabla ya ovulation), huongeza uwezekano wa
kushika mimba kuliko kusubiria ovulation
au kufanya baada ya ovulation.
Kutaneni siku mbili au tatu kabla ya ovulation.
Ukitumia ovulation test kit, mkutane kuanzia
siku itakapokuwa positive kwani huwa inapredict
ovulation kutokea 48 hrs after it tests positive.




4. Usitegemee njia ya kalenda kutabiri uenguaji
yai, njia hii kwa kiasi fulani huweza kuwasaidia
wale wenye mzunguko wa siku 28, lakini pia
haina uhakika wa 100%, wengi wa wanawake
hawaengui yai siku ya 14 ya mzunguko wa
hedhi,
 kwa hiyo kutegemea kalenda kutakuchelewesha
kupata ujauzito.

5. unapotaka kushika mimba, acha au punguza
kwa kiasi kikubwa matumizi ya pombe, sigara au
dawa za kulevya.

6. unapotaka kupata mimba, tendo la ndoa liwe
kitu 'enjoyable' na sio tendo 'mechanical' kwa
ajili
ya kutafuta mtoto. Plan a romantic evening
or try something different to spice things up.
How you are feeling sexually may increase
your chances of getting pregnancy. For women
a better orgasm may help pull the sperms into
the
 uterus and for men a better orgasm may
increase
 their sperm count.

7.Kufanya mapenzi katika mtindo (style) ambayo
itafanya mbegu za kiume zikae kwa muda
mrefu
ukeni na hivyo nyingi kupanda kuingia kwenye
kizazi na kwenda kurutubisha yai.
'missionary position' ni nzuri zaidi, ambapo
mwanaume
 anakuwa juu, epuka positions za mwanamke
kuwa juu
kwani hufanya mbegu zimwagike kwa gravity.
Jaribu pia kuweka mto chini ya kiuno ili kukiinua
na kufanya mbegu ziingie ndani kwa urahisi
zaidi.
Kumbuka kuna asilimia 10 - 25 ya couples
ambazo
 zina matatizo ya infertility lakini vipimo
havionyeshi
 tatizo, inaweza kuwa namna ya kufanya
mapenzi
ndio ikawa shida, jaribu njia hizo 7 juu.
Kama hizi njia hazijakusaidia basi utakuwa na
matatizo na unaweza kumuona daktari kwa
msaada wa vipimo na matibabu. Natumaini
uzi huu unaweza kuwa msaada kwa watafutao
watoto.

No comments:

Post a Comment