Pages

Pages

Pages

Sunday, 18 May 2014

FILAMU YA ZENA NA BETINA ITAMGHARIMU NISHA.



MWANADADA Salma Jabu Nisha akizungumza
na Website hii ya thechoicetz asubuhi ya leo
alizungumzia suala la kuchimbwa mkwara mzito
na Gazeti La Sani kwa kuambiwa alipe fedha
taslimu za kitanzania Shilingi milioni 100 iwapo
anataka kuendelea kuyatumia majina hayo ya
Zena NA Betina au laa sivyo atashtakiwa na
Gazeti hilo. Nisha alisema: Jamani navyoelewa
katika sheria ya jamhuri ya muungano
watanzania ya mwaka
1971ibara ya pili kifungu 'A' kuhusu matumizi
ya majina ina sema kila mtu anahaki ya
kutumia jina lolote alipendalo mradi awe
amepewa na wazazi au kurithi, Majina hayo
ni ,A' MAJINA YA ASILI, mfano Mwajuma,
Amina,Zena, Hamis, Kabuti n.k, Kupitia sheria
hii ndio maana unakuta majina hufanana..


Swali je wenye majina yao kweli hao wa kina
zena wakiamua washtaki gazeti la sani kwa
kuwafananisha na katuni wanaweza kuwalipa
zena wote Tanzania ?....Hakuwa na mengi ya
kusema Nisha bebe bali alimalizia kwa kusema
kuwa mashabiki wake wakae mkao wakula
ZENA na BETINA zimesalia siku kumi na mbili
iwasili madukani kote.





CREDIT:UDAKU MAGAZINE

No comments:

Post a Comment