Pages

Pages

Pages

Monday, 8 September 2014

Serengeti Super Nyota Divaz Shinyanga imekamilika na mshindi ni huyu.


Home » Ent. » Serengeti Super Nyota Divaz Shinyanga imekamilika na mshindi ni huyu.

Serengeti Super Nyota Divaz Shinyanga imekamilika na mshindi ni huyu.

14spnytMashindano ya Serengeti Fiesta Super Nyota Divaz ni miongoni mwa vihusishi vya tamasha la Serengeti Fiesta ambalo kwa Shinyanga bado halijafanyika kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ya matatizo yaliyotokea Musoma ya ajali ya mabus mawili.
Upande wa Shinyanga washiriki waliojitokeza jumla yao ni 10 ingawa kuna wengine walichelewa kuchukua fomu kutokana na kutofahamu siku rasmi ya mashindano,round ya kwanza ilikamilika kwa washiriki 4 kutolewa.
Mpaka round ya mwisho ambayo ilikua ya 3 majaji wakiongozwa na Dj Fetty walimtangaza Amina kama mshindi wa Serengeti Fiesta Super Nyota 2014 kwa mkoa wa Shinyanga.
Mashindano haya yalifanyika Club Butiama ya hapa Shinyanga,Hizi ni baadhi ya picha wakati mashindano yakiendelea.
28spnyt
Mshindi wa Serengeti Fiesta Super Nyota 2014 Amina.
27spnyt
Wahudhuriaji wakifatilia tamasha la Serengeti Super Nyota Divaz 2014 Shinyanga.
30spnyt  25spnyt
24spnyt
23spnyt
21spnyt
20spnyt
26spnyt
14spnyt
15spnyt
16spnyt
17spnyt
Jumla ya washiriki wa Serengeti Super Nyota Divaz 2014 Shinyanga.
18spnyt
19spnyt
13spnyt
12spnyt
11spnyt
10spnyt
9spnyt
8spnyt
2spnyt
5spnyt
6spnyt
7spnyt





Credit:Millard Ayo.

PICHA ZA UCHAGUZI WA KWANZA WA UMOJA WA WASANII ZANZIBAR 7/ 9/ 14

PICHA ZA UCHAGUZI WA KWANZA WA UMOJA WA WASANII ZANZIBAR 7/ 9/ 14

 

Bujju & Classmate..............................................